Dec 1, 2013

EMMANUEL, ELIZABETH MMOJA KUONDOKA NA MIL 50 USIKU HUU

Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile baada ya kubaki wawili katika fainali za EBSS 2013.

Washiriki Emmanuel Msuya na Elizabeth Mwakijambile wanachuana kutafuta mshindi wa EBSS 2013 katika fainali zinazoendelea ndani ya Escape 1, Mikocheni jijini Dar muda huu.

(PICHA: DENIS MTIMA, RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA