Nov 11, 2013

BREAKING NEWS: PROFESA JAY APATA AJALI


 Taarifa zilizotufikia ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haule 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limeharibika.

HABARI KAMILIhttp://www.globalpublishers.info