Dec 1, 2013

BARNABA BOY WA THT KWA MARA YA KWANZA AUTAMBULISHA WIMBO WAKE MPYA WA JASHO LA MNYONGE KATIKA JUKWAA LA EPIQ BONGO

msanii barnaba boy alipopata fursa ya kuimba wimbo wake mpya ujulikanao kwa jiana la jasho la mnyonge katika jukwaa la fainali za epiq bongo star search 2013 barnaba afanaya vizuri sana