Nov 5, 2013

APPLE NDIO TUNDA PEKEE LILILO LETA UTATA KATI YA BINADAMU NA MUNGU LAKINI SASA NDIO TUNDA PEKEE LINALO LETA AMANI KATIKA MAPENZI







watu wengi hapa duniani wamekua wakiamini kuwa tunda aina ya apple ndio tunda pekee amabalo unaweza mpelekea mwenzi wako au mpanzi wako kama zawadi pekee ya kuupendezesha na kuuridhisha moyo wake lakini tukirudi katika tafsiri ya kiroho na maandiko inasemekana kuwa tunda je hilo ndio lilitumika kuvunja amani kati ya mwanadamu na mungu wa mbunguni na kufanya mungu achukie sana na kuwafukuza binadamu kutoka bustani ya edeni 

SWALI
 JE? unaamini kuwa mapenzi ya kuzawadiana tunda hilo ni halali?

JE? unadhani kuwa bila tunda la apple mpaka sasa binadamu tungelikuwa ndani ya bustani ya edeni?

JE? tunda hilo la apple ndio ishara ya amani na upendo kwa binadamu pindi wawapo katika penzi?

JE? tukubaliane kuwa tunda hilo ndio chanzo cha kujua mengi pindi tulilapo?

JE? tupokee zawadi ya tunda hilo na kulila bila woga tukidhani kuwa mungu hatuoni kabisa?

toa maoni yako hapa juu ya tunda hili la ''APPLE''