Oct 19, 2013

RAIS - AZINDUA KIWANDA CHA KUSINDIKA CHAI - LUPEMBE



  Rais Jakaya Kikwete akiagana na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha chai cha Ikanga, Njombe, baada kuzindua kiwanda hicho kipya cha chai ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe