Oct 17, 2013

NDOVU SPECIAL MALT ILIVYO KUTANA NA WADAU WAKE KATIKA CRYSTAL BAR JIJINI MWANZA

  Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza wakipiga picha za kumbukumbu kabla ya kuingia katika taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa 


  Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akipiga picha ya kumbukumbu kabla ya kuingia katika taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa kinywaji cha Ndovu ijulikanayo kama Ndovu Crystal Bar 





Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa katika foleni ya kuingia katika taafrija maalum ya wateja na wapenzi wa kinywaji cha Ndovu ijulikanayo kama Ndovu Crystal Bar iliyofanyika katika Hoteli ya Gold Crest ya jijini humo mwishoni mwa wiki.





picha na jiachieBLOG