wakuu wa shule za sekondari walipokutana wilayani magu kwa ajili ya semina ya ADEM walipozungumzia masuala muhimu sana kuhusu elimu na mambo muhimu ya cross cuting wadau hawa wa elimu wamezungumzia masuala muhimu sana haswa katika kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi na namna ya kujikinga na maradhi mengine juu ya wanafunzi pindi wakiwa katika harakati za masomo, lengo la kikao hiki ilikuwa ni ukuzaji wa elimu hapa tanzania na kuongeza ufaulu wa wanafunzi pindi wamalizapo masomo yao ya sekondari.
picha na babu wambura from webcam