Harusi
za Nigeria ni moja kati ya sherehe zinazofana sana barani Afrika
kutokana na mpangilio wa muonekano sambamba na ubunifu katika mavazi.
kila kukicha wanaibua style mpya ya ubunifu wa mavazi na mitindo mbalimbali ya maisha na kuvutua watu duniani
Hizi
ndizo sababu zinazofanya taifa la Nigeria kuwa na nyongeza nyingine
katika utalii na sasa wageni wana miminika nchini humo kushuhudia
yanayojiri zikiwemo tamaduni ambazo zimeenziwa kwa miaka dahari sasa.
kupia mifumo hiyo nigeria imekuwa ikifanya mabo ya kikubwa zaidi ilimradi tu kuweza kujitambulisha kimataifa na kupata sifa kubwa zaidi barani africa hivyo jamii ya watalii imekuwa ikimiminika nchini humo kwa ajili ya kuweza kujionea fashion za kila aina zinazo buniwa na wadu wa nchi hiyo.







