Ant lulu amesema kuwa wanaume wamemla uroda kwa miaka mingi lakini hakuna faida yoyote anayoipata mpaka sasa na amekili kuwa yuko tayari kuacha tabia hiyo kwani kwa upande mwingine inamharibia sifa kwa jamii na bado marafiki zake wakaribu wanamponda vikali kwa tabia zake chafu za kuanika picha za utupu katika mitandao ant lulu amabaye amekuwa maarufu katika kuapolad mapicha kwa mtandao ya kijamii amesema sintah amempasha vya kutosha juu ya tabia hizo za kugawa uroda bure
habari na UDAKUSPECIAL


