Aug 25, 2013

UTAMKUBALI TU HATA KAMA NI MUUZA UNGA



haya ndio maisha ya mastaa wetu ndani ya bongo wengi walidhani kuwa utajiri wanao
upata vijana ni kutoka freemason lakini tafsiri yake ni tofauti kabisa kwamba
vitendo vichafu na udharirishaji ndio unaowafanaya
wao waonekane kuwa wako katika hali ya ustaa lakini sio wasanii wote wa tanzania
wanaojishugulisha na sanaa ipasavyo bali ni tamaa ndio zianawafanya wasipambane na
game la sanaa husika mwisho wake wanaishia kuwa wauza unga
hakika vijana kwa mwendo huu itabaki story tu hakuna ufreemason hapa
ni unga tu jamniiiiiiiiiiii HILI NI BALAA MUNGU TUSAIDIE VIJANA WETU 
WANUSULIKE NA MAJANGA HAYA WAJITUME KWA BIDII ILIWASOMEKE KATIKA GAME LA SANAA .