Aug 20, 2013

MAANDAMANO JIJINI MWANZA YAZUA BALAA

asikari wa kuzua ghasia wakiwa na siraha za kurusha mabomu ya machozi na kutawanya makundi ya watu waliokuwa wakiandamana



 vijana wako bize 


watu wakiwa wako na mzuka  






 Mheshimiwa wenje mbunge wa nyamagana akiongea na wanchi


Mheshimiwa mkuu wa mkoa akijaribu kulipastia ufumbuzi suala zima la maandamano hayo kwa viongozi wa chadema




baadhi ya raia walio data walisomba uchafu na kuujaza katikati ya barabara

asikari wakijaribu kuzuia maandamano ya chadema na kuthibiti hali kuwa shwari ndani ya jiji