Aug 25, 2013

HAPA NDIO PENYEWE FULL PASAKA

dayna nyange, babu wambura, kitale raisi wa mateja 
katika harakati za
 uzinduzi wa albamu ya pasaka huku kutoka kwa kala jeremiah

 kitale huwa ni mchekeshaji tu hata akiwa anakula sio tu kwa TV
hapo pembeni ni kala jeremiah dyna na wambura babu
H-baba mzee wa dance nae kwa sana akichekesha watu na mambo zake
za utani utani