- KATIKA HARAKATI ZA UFUNDI WA COMPUTER:hii ndio kazi yetu vijana kwa lugha nyepesi tunaita kujiajili
hapa wambura akijaribu kucheki matatizo mbalimbali yanayo ikabili computer
na kuweza kutatua matitizo hayo akiwa makini kabisa na vijana wenzake
vijana wakiwa bize sana na kazi hapa inaonyesha kuwa suala ziama la kujiajili linaweza kutatua umasikini badala ya vijana kukaa vijiweni basi wanapaswa kuwa wabunifu na wachapa kazi na wanaweza kujipatia vipato vyao kwa ajili ya kujikimu kimaisha japo ndio maisha yanaanza rasmi
picha kwa hisani ya babu wambura